Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi hiyo kwenye Banda la Bodi hiyo lililopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu kwenye Banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) alipokuwa anatembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma ( PSPTB), Shamim Mdee alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo alipotembelea Banda la Bodi hiyo katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma (PSPTB), Shamim Mdee alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu kazi zinazofanywa na Bodi hiyo alipotembelea Banda la Bodi hiyo wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi kuhusu kozi zinazotolewa na Chuo hichi zinazohusiana na taaluma ya Uhasibu
alipotembelea Banda la Chuo hicho wakati wa kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi Chuo Kikuu Mzumbe, Bi. Fatna Mfalingundi alipotembelea Banda la Chuo hicho katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) Andrew Punjila(kulia) kuhusu masuala ya Takwimu alipotembelea banda hilo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) lililopo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Uhusiano na Mawasiliano kutoka NBAA, Magreth Kageya (kushoto) na Afisa Masoko kutoka APC Hotel Conference Center Happy Sanga (kulia) mara baada ya kutembelea lipotembelea Banda la Kituo cha Mikutano APC Hotel and Conference Centre katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.