Kikosi cha Simba SC kimeondoka hapo jana jioni kuelekea nchini Misri kipindi hichi kabla ya msimu mpya kuanza kwaajili ya maandalizi ya Michuano ijayo katika Ligi Soka Tanzania Bara.
Haya hapa majina ya sehemu ya kikosi kilichofanikiwa kuondoka, huku baadhi wakisalia bado wakifuatilia taratibu za vibali vyao (Passport)..