WAZIRI KIJAJI AKARIBISHWA, WAZIRI JAFO AAGWA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakionesha zawadi ya picha aliyokabidhiwa na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa hafla ya makabidhiano ya ofisi katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Julai, 2024.No alt text provided for this imageWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akimkabidhi vitabu vya nyaraka mbalimbali Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo baada ya makabidhiano ya ofisi kwa mawaziri hao katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma tarehe 08 Julai, 2024.No alt text provided for this imageWaziri wa wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo na viongozi na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis mara baada ya makabidhiano ya ofisi jijini Dodoma tarehe 08 Julai, 2024.No alt text provided for this imageWaziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya makabidhiano ya ofisi na Waziri wa wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji, Jijini Dodoma tarehe 08 Julai, 2024.No alt text provided for this imageWaziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akiagwa na viongozi na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais mara baada ya makabidhiano ya ofisi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji, Jijini Dodoma tarehe 08 Julai, 2024.

Related Posts