MEJA JENERALI MBEGE (MSTAAFU) ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA

Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) ametembelea banda la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zilizochini ya ofisi hiyo wakati wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA) yanayoendelea Jijini Dar es Saalam, ametembelea hii leo tarehe 09 Julai, 2024



Related Posts