KIPRE JR AJIUNGA NA MC ALGER – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya MC Alger ya nchini Algeria imekamilisha usajili wa aliyekuwa winga wa Azam FC, Kipré Junior kwa mkataba atakaohudumu ndani ya kikosi hicho mpaka 2028.

Kipré Jr alikuwa na kiwango kizuri msimu uliopita hadi kupelekea kuisaidia Azam kushika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi licha ya kuwa imefungana kwa Pointi (69 ) na klabu ya Simba.

#KonceptTvUpdates

Image

Related Posts