DKT. TULIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BRICS 2024, URUSI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 10 Julai, 2024 amewasili St. Petersburg nchini Urusi ambapo amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Mhe. Fredrick Kibuta.

Dkt. Tulia anatarajia kushiriki Mkutano wa BRICS 2024 utakaofanyika nchini humo kuanzia tarehe 11-12 Julai, 2024.

Cc:Bunge

#KonceptTvUpdatesImage

Related Posts