MHE. ABDULLA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPAMBANO YA RUSHWA AFRIKA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika kwa Mwaka 2024 yaliyofanyika katika Ukumbi wa Viwanja vya Maonesho ya Biashara Nyamanzi ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussen Ali Mwinyi.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehw 11.07.2024.

Related Posts