Hii inawahusu wapenzi wa kasino, usipange kukosa maajabu ya mchezo huu wa namba wenye mfanano na Keno, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una namba 48, huku ukikupa nafasi ya kubashiri namba zitakazojitokeza kwenye kila mzunguko.
Unapoanza kuucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unakupa nafasi ya kufikiria na kupanga namba zako za bahati kwa muda wa dakika 3, kisha mzunguko wa kusaka utajiri utaanza rasmi.
Meridianbet ili kuhakikisha wanakubusti vizuri, unapoucheza mchezo wa Win & Go wanakujaza na bonasi ya kasino 1,000,000/= TZS ambayo unaipata muda wowote wa mchezo kwa kipindi cha mwezi mmoja tu.
Kimbilia bahati yako usikubali ikukosea kirahisi, ili kuwa tajiri mchezo huu unakupa uwezo kucheza kwa dau dogo kabisa la kuanzia 500-50,000/= TZS.
VIPI KUHUSU JACKPOT?
Kitu wanachokipenda wengi ni uwepo wa Jackpoti ambapo mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, umekuja na Jackpot endelevu na inaweza kukuangukia wewe muda wowote.
Kila unapocheza tiketi yako ya ubashiri mubashara itaingia moja kwa moja kwenye Jackpoti, kwahiyo kadri unavyocheza tiketi nyingi unazidi kujiweka kwenye bahati ya kushinda Jackpoti moja wapo.
NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz