RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPANDA KATIKA KILELE CHA WIKI YA WAZAZI KITAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mpanda kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa Kilele cha Wiki ya Wazazi mkoani Katavi katika Viwanja vya Azimio, Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa Kilele cha Wiki ya Wazazi Mpanda mkoani Katavi. Mkutano huo ambao umeandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania ulifanyika katika Viwanja vya Azimio, Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya Azimio vilivyopo Mpanda kwa ajili ya kushiriki kwenye kilele cha Wiki ya Wazazi ambayo Kitaifa imefanyika mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

 

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliondaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania katika Viwanja vya Azimio Mpanda Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

Shamrashamra za kilele cha Wiki ya Wazazi ambayo Kitaifa imefanyika Mpanda mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Maonesho kwenye kilele cha Wiki ya Wazazi ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Azimio Mpanda mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.

Related Posts