Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya kikazi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Katavi Dkt. Serafini Patrice kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Hospitali hiyo mara baada ya kuwasili kwenye Hospitali hiyo Mpanda tarehe 14 Julai, 2024.No alt text provided for this image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Dkt. Maria Matei kuhusu wodi ya watoto njiti (NICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo tarehe 14 Julai, 2024.

No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza na
Wananchi mara baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo tarehe 14 Julai, 2024.No alt text provided for this image
Taswira ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi ambayo ipo Mpanda kama inavyoonekana pichani tarehe 14 Julai, 2024.No alt text provided for this imageRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwapungia mkono wananchi wakati akiondoka mara baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi iliyopo Mpanda katika Muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi mkoani humo tarehe 14 Julai, 2024.

 

Related Posts