CALVINE ASHINDA MILIONI 10 MASHINDANO YA PIKIPIKI NCHINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mshindi wa jumla wa mbio za Pikipiki SAMIA MOTOCRSS CHAMPIONSHIP ARUSHA Calvine Gabriel akifurahia kombe, medali na ushindi na kitita cha shilingi milioni 10 mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda jioni ya Julai 14,2024.

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya Watu 15, pikipiki, baiskeli, umati na maandishi yanayosema 'engage medge medi ૭ SWiTCH M mabiom Kili MedAir ₪ startv PUMA MIAY MB ASCEND TANZANIA लો SAMIA GARDANORLD Aces 서대L NEAL NE 1'

 

Related Posts