Maelfu wahudhuria kwenye sherehe za kimila za kupigana magomba ZNZ

Sherekhe maarufu za Mwakakogwa Zanzibar ambazo hufanyika kila mwaka ambapo kwa huu Mgeni Rasmini katika sherehe hizo maarufu za ki mila ni Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi

Maelfu ya watu ambao wakiume huvalia nguo za kike na wanawake huvalia nguo za kiume , kutokea Maeneo mbali mbali na mikoa tofauti wamekusanyika katika Kijiji cha Kae Mkoa wa Kusini Makunduchi ambao hupigani makurunzi ya magomba wenyewe kwa wenyewe kike kwa kiume ikiwa na lengo mbali mbali ikiwemo kusameheana kwa kupigana.

Related Posts