LIGI KUU YA NBC MSIMU MPYA KUANZA RASMI AGOSTI 16, 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) kupitia mitandao ya kijamii imetoa taarifa kuujuza umma kuwa Michuano ya Ligi Kuu kwa msimu mpya itaanza rasmi tarehe 16 Agosti 2024.

Kuanza kwa Michuano hio kutarejesha tena hamasa za soka kwani Mashabiki na wadau wa soka nchini kwani wamekuwa na kiu kushuhudia tena Michuano hiyo ya Vilabu vya soka la nyumbani.

#KonceptTvUpdates

Related Posts