Kamanda wa Polisi (M) Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mtatiro Kitinkwi (katikati) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Oryx Tanzania, Benoit Araman (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya G4S, Imelda Lutebinga wakizindua kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ikiwa ni kampeni mahususi ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Benoit Araman (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga (kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Benoit Araman (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.