Rais Samia aweka jiwe la msingi shule ya wasichana mkoa wa Rukwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 17,2024 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Majengo ya Shule ya Wasichana Mkoa wa Rukwa Wakati wa Ziara yake Mkoani humo ambapo ametoa wito kwa Wanafunzi kusoma kwa bidii Ili kujenga kesho iliyo bora.

   

Related Posts