TRC yatangaza Ratiba ya Safari za Treni ya SGR Dar- Dodoma Kuanza Rasmi Julai 25 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeujuza umma kuwa ratiba ya Safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Makau makuu ya Nchi, Dodoma itaanza rasmi Tarehe 25, Julai 2024.

TRC inaeleza bayana kuwa kuanza kwa safari hizo za treni kutaleta mabadiliko ya ratiba nyingine za safari za treni zilizokuwa zinafuata ratiba ya iliyotangazwa na kuzoeleka.

Image

Related Posts