CHRIS BROWN MATATANI KWA KUJERUHI – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Mwanamuziki Chris Brown Anakabiliwa Na Kesi Ya $50m (Tsh Milioni 134.2/= Kisa Shambulizi. Breezy Anadaiwa Kuwa Alitoa Maagizo Kwa Watu Wake Kuwashambulia Watu Wanne (4) Backstage Baada Ya Kumaliza Show Yake Huko Mjini Fort Worth, Tx Jumamosi Hii Iliyopita (Julai 20).

 

 

Kwa Mujibu Wa TMZ, Wahanga Hao Wamefungua Mashtaka Dhidi Ya Breezy Na Kudai Fidia Ya Tsh Milioni 134/= Kutokana Na Majeraha Waliyopata .

 

 

Mmoja Kati Ya Wahanga Hao Charles Bush, Anadai Kuwa Alizungukwa Na Watu 7-10 Kutoka Timu Ya Breezy Ambao Walikuwa Wakimsukuma Na Kumpiga.

 

 

Na Katika Kukazia Hilo Anasema Kwamba Alifanikiwa Kushika Jina La Mtu Mmoja Aitwaye ‘Hood Boss’ Ambaye Alimtupia Kiti Kichwani Kwake.

 

 

Wahanga Hao Ambao Wanadai Kuwa Waliitwa Backstage Pamoja Na Wanawake 40 Baada Ya Show Kumalizika Ni Larry Parker, Joseph Lewis, Charles Bush Na Da Marcus Powell.

 

Related Posts