Waziri Aweso aanza ziara ya Morogoro

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso leo July 23, 2024 amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji wa Maji katika Mji wa Morogoro.

.
.
.
.
.

The post Waziri Aweso aanza ziara ya Morogoro first appeared on Millard Ayo.

Related Posts