NABI KUMALIZA UTAWALA WA MAMELODI AFRIKA KUSINI – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

Timu ya Kaizer Chiefs ‘Amakhosi’ ambayo sasa inanolewa na kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi imeanza harakati za kumsajili Thibang Phete anayekipiga GD Chaves ya Ureno.

 

Nyota huyo wa kimataifa wa Afrika Kusini  ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo mkabaji na beki wa kati.

 

Timu hiyo yenye wapenzi wengi Afrika Kusini imepania kumaliza ‘utawala’ wa Mamelodi Sundowns mwaka huu.

Related Posts