VIBE LA SIMBA MOROGORO UBAYA UBWELA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Uongozi wa klabu ya Simba SC wanachama na mashabiki kutokea Dar es Salaam wamewasili mkoani Morogoro kwaajili ya Uzinduzi wa kilele cha Simba Day pamoja na Jezi mpya za msimu ujao wa mashindano.

 

 

Simba wanataraji kuzindua jezi Majira ya Saa 10 jioni katika mbuga ya Mikumi ambapo pia watacheza mchezo wa kirafiki.

 

 

PICHA ZAIDI ZA MATUKIO

 

Related Posts