MOURINHO ASHUSHA WANNE FENERBAHCE – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Kocha mpya wa Klabu ya Uturuki ya Fenerbahce Jose Mourinho ameendelea kukiimarisha kikosi chake ili kuipa Galatasaray ushindani mkali baada ya kuwasajili nyota wanne wenye uzoefu mkubwa watakaoipiga jeki timu hiyo katika mashindano mbalimbali.

 

Miongoni mwa maingizo mapya ndani ya Fenerbahce ni pamoja na nyota wa Morocco Youssef En-Nesyri, aliyejiunga nao kutoka Sevilla FC ya Hispania, winga Mfaransa Allan Saint-Maximin alijiunga nao kwa mkopo kutoka Klabu ya Saudi ya Al-Ahli, beki wa Atletico Madrid Caglar Söyüncü, na Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uturuki, Cenk Tosun.

Related Posts