TRENI YA SGR YAANZA SAFARI ZAKE DAR NA DODOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Baadhi ya abiria wakiwa katika stesheni ya treni ya umeme ya Reli ya SGR jijini Dodoma wakati treni hiyo ilipoanza safari yake ya kwanza kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma leo Julai 25, 2024.

 

Treni hiyo imeondoka ikiwa na abiria 900 waliojaza madaraja yote ya treni na safari ya Dar mpaka Dodoma inachukua saa tatu na dakika 25.

Related Posts