KWANINI AFRIKA BADO NI MASKINI? – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kwanini Afrika Bado Inaandamwa na Umaskini Licha ya Kuwa na Rasiliamali Nyingi?

Moja ya sababu kuu zinazotajwa mara nyingi juu ya uwepo wa changamoto ya umaskini barani Afrika ni kuyumba kwa uchumi, hio kutokana na kutokuwa na mifumo thabiti na endelevu. Viwango vya juu vya ukosefu wa ajira, usawa wa mapato, na sera za kiuchumi haviendani hadi kupelekea wakati mwingine waliopata nafasi za uongozi katika nchi kushindwa kutanguliza mahitaji ya raia walio hatarini zaidi wa taifa la Kiafrika (Ufisadi).

Yapi maoni yako kuhusiana na hili?

Picha na; CAGE Reserch Centre

#KonceptTvUpdates

Related Posts