Mkali huyo wa Amapiano kutumbuiza usiku wa leo Dar Elements , hii ndio EP yake

Ni July 26, 2024 ambapo Mtayarishaji na Dj kutokea nchini Afrika Kusini, Xduppy usiku wa leo anatarajia kuzicheza nyimbo zao zinazofahamika kwa jina la Amapiano.

Mkali huyo anatarajiwa kukutana na Watanzania wanaozipenda nyimbo hizo katika chimbo la Elements Masaki Jijini Dar es Salaam.

Hapa nimekusogezea Ep yake mpya aliyoitoa hivi karibu iitwayo Umswenko 

 

Suka Man

Related Posts