WATETEZI wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), Dar City, inaendelea kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 37, huku mpinzania wake UDSM Outsiders ikishika nafasi ya pili kwa pointi 34.
Timu zinazofuatia Savio pointi 34, JKT pointi 32, Mchenga Star pointi 29, ABC pointi 28, Vijana ‘City Bulls’ pointi 28 na DB Oratory pointi 28.
PL W L PTS
Dar City 19 18 1 37
UDSM 18 16 2 34
Savio 18 16 2 34
JKT 18 15 2 32
Mchenga 17 12 5 29
ABC 17 11 16 28
Vijana 18 10 8 28
DB 18 10 8 28
Srelio 19 7 12 26
Ukonga 19 6 12 25
KIUT 19 5 14 24
Pazi 18 5 13 23
Mgulani JKT17 5 12 22
Crows 18 4 14 22
Jogoo 18 3 15 21
Chui 16 3 13 19