Rais Dkt. Samia ashiriki Mahafali ya NDC Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.

. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mahafali ya Chuo hicho, Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mahafali ya Chuo hicho, Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024.


Baadhi ya Waambata Jeshi kutoka nchi mbalimbali pamoja na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati wa Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.

Related Posts