Warembo wanaounda kundi la Tango Supreme kutumbuiza Dar usiku wa leo

Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo  Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao usiku wa leo July 27, 2024

Warembo hao watapanda  katika jukwaa litakalofungwa Elements Masaki Dar es Salaam mahali ambapo watakutana na mashabiki zao.

.
.

Related Posts