Habari Mbunge wa Chalinze ameshiriki kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama Cha Mapinduzi kuchagua Diwani July 28, 2024 Admin Mbunge wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete ameshiriki kikao cha Baraza la Madiwani Cha Chama Cha Mapinduzi kuchagua diwani atakayegombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze kilichofanyika Chalinze ,mapema leo.#KaziInaendelea Related Posts Habari PROF. SHEMDOE ATOA MAELEKEZO KWA WAZABUNI WATAKAO SAMBAZA CHANJO NCHINI January 21, 2025 Admin Habari USHINDI BAB’KUBWA KUPITIA KAMPENI YA MALIPO YA KIDIGITALI ‘TAP KIBINGWA’ YA STANBIC January 21, 2025 Admin