BREAKING; KINANA AJIUZULU NAFASI YA UMAKAMU CCM – MWANAHARAKATI MZALENDO

#BREAKING Makamu Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Abdulrahman Kinana amejiuzulu. Hayo yamethibitishwa mara baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. @SuluhuSamia kuridhia ombi la Kinana kujiuzulu nafasi yake.

Powered by crdbbankplc @kobemotor @vodacomtanzania @hisense_tanzania_official @betpawatanzania
#KonceptTvUpdatesImage

Related Posts