TRENI YA MIZIGO YAPAJA AJALI MORO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Treni ya mizigo yenye namba C 331 lenye injini namba 9101 liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Isaka nchini Zambia. imepata ajali.

Kwa mujibu wa stesheni masta msaidizi Godfrey Temba amesema hakuna majeruhi wala kifo kilichosababishwa na ajali hiyo zaidi ya kuharibika kwa miundombinu ya reli na kuanguka kwa mabehewa matano ya mizigo.

Hata hivyo kiongozi huyo amesema kuwa timu ya wataalamu inaendelea kichunguza chanzo cha ajali hiyo.ImageImageImage

Related Posts