Mama mzazi wa Halima Mdee afariki dunia


Dar es Salaam. Theresia Mdee, mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu, Halima Mdee amefariki dunia asubuhi ya leo Jumanne, Julai 30, 2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi leo Julai 30, 2024, Halima amesema: “Mama yangu amefariki.”

Theresia alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu.

Endelea kufuatilia Mwananchi kwa habari zaidi.

Related Posts