Kutana na mchekeshaji maarufu wa Togo Arnoli Boukary Togo ambaye amepata umaarufu mitandaoni kwa ulaji wake wa tambi.
Boukary amejizolea takriban wafuasi milioni 5 kwenye mtandao wa TikTok huku umaarufu wake ukizidi kukua kwa kasi katika kurasa mbalimbali mtandaoni.
Aidha, mtindo wake wa uchekeshaji pia umewafanya wengine kuiga na kuleta burudani mtandaoni.