WATAALAM WA RADIOLOJIA WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MASHINE ZA X-RAY

Wataalamu wa Radiolojia 35 kutoka Hospitali za Halmashauri na vituo vya Afya wa Mikoa 17 nchini wakipatiwa mafunzo ya matumizi ya mashine za X-ray za kidijitali aina ya DRGEM GXR-C52SD zilizonunuliwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI zinazotarajiwa kusambazwa na kusimikwa katika Hospitali za Halmashauri 16 na Vituo vya Afya 51

Mafunzo hayo yanatolewa katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na kampuni ya usambazaji ya HPERMED HEALTHCARE LTD pamoja na Watengenezaji wa mashine hizo kampuni ya DRGEM kutoka nchini Korea ya Kusini yanayoratibiwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Bohari ya Dawa (MSD).

Related Posts