HAYATI BENJAMIN MKAPA MUASISI WA NHIF – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa alichangia kwa kiasi kikubwa kuanzishwa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mwaka 1991 na kuanza kutumika rasmi 2001.

Ameyasema hayo alipohudhuria kumbukizi ya tatu ya urithi wa rais wa awamu ya tatu hayati Benjamin Mkapa katika ukumbi wa JNICC leo. Viongozi mbalimbali wa serikali walihudhuria hafla hiyo akiwe rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

#KonceptTvUpdates

Related Posts