DAKTARI ALIYEWEZA KUTIBU UKIMWI, KANSA KWA DAWA ZA ASILI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Dr. Sebi, mganga maarufu, aliyewahikutibu UKIMWI, kansa, na kisukari kwa kutumia mitishamba, akifanikisha mahitaji ya kiafya ya Waafrika wengi, huku akipinga tiba za kizungu na biashara za madawa.

Dr. Sebi alikabiliana na kesi 2,781 za udanganyifu na utapeli, akashinda zote, lakini baadaye alibambikiziwa kesi ya utakatishaji fedha na kufungwa, akafia jela. Muimbaji Nipsey Hussle alifanyia kazi makala kuhusu Dr. Sebi, lakini kabla hajamaliza, aliuawa, akithibitisha hila za mabepari kutokubali mafanikio ya tiba za asili.

Kutokana na tafiti zake alikabiliana na magonjwa kama kisukari na asthama kwa kutumia mitishamba, akionesha umuhimu wa tiba za asili kwa Waafrika na kupuuza matibabu ya kizungu.

Kama haitoshi, aligundua asidi ni chanzo cha magonjwa mengi na akashauri kula vyakula vyenye alkaline, akieleza jinsi asidi inavyoharibu figo, ini, na kusababisha kansa.

Mabepari walihofia kupoteza mabilioni ya dola kila mwaka kutokana na tiba za Dr. Sebi, hivyo wakamfunga na kumtuhumu ili kuhifadhi faida zao za madawa. Katika ulimwengu wa kibepari, kuugua ni faida, kufa ni hasara. Wanatumia ARV na madawa mengine kuwafanya wagonjwa waendelee kuishi bila kupona kabisa, kuingiza faida kubwa.

Dr. Sebi alisisitiza kula vyakula vyenye alkaline na kuacha vyakula vyenye asidi kama nyama, maziwa, na soda, akisema vyakula vya asili ni tiba bora kwa magonjwa mengi. Katika vitabu vyake, alidai virusi vya UKIMWI haviwezi kusababisha upungufu wa kinga mwilini, akisisitiza ulaji bora na mazoezi badala ya kutumia ARV za kibepari.

Dr. Sebi alifanya tafiti za mitishamba na kupata majibu ya tiba kwa magonjwa mengi, akihimiza serikali za Afrika kuelekeza pesa kwenye tafiti badala ya kununua madawa kutoka nchi za magharibi.

 

#KonceptTvUpdates

Related Posts