Rais Samia azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma – MWANAHARAKATI MZALENDO

Taswira ya jengo la Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua jengo la Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea jengo la Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.

No alt text provided for this imageRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa mara baada ya kuwasili Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu Chumba Maalum cha kuongozea Treni ya Kisasa (SGR) katika eneo la Stesheni Kilometa 0 Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua safari za Treni ya Kisasa  (SGR) kuanzia eneo la Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Bendera na kushusha chini (Flag off) kuashiria uzinduzi rasmi  wa safari za Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.No alt text provided for this image Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na abiria mbalimbali waliokuwa wakisafiri na Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma mara baada ya uzinduzi katika eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.

Related Posts