WASHINDI WA TUZO ZA TFF 2024 HAWA HAPA

 

Ley Matampi (Coastal Union) – Kipa Bora Ligi Kuu Wanaume Tanzania bara.
Djigui Diarra (Yanga SC) – Golikipa bora Kombe la Shirikisho la CRDB
Caroline (Simba Queens) – Golikipa bora wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Azizi Ki (Yanga SC) – Mfungaji bora Ligi kuu Wanaume Tanzania bara (Magoli – 21).
Clement Mzize (Yanga SC) – Mfungaji bora CRDB Federation Cup (Magoli – 5).
Aisha Mnuka (Simba Queens) – Mfungaji Bora Ligi ya Wanawake.
Azizi Ki (Yanga SC) – Kiungo Bora Ligi Kuu Wanaume Tanzania Bara.
Juma Mgunda (Simba Queens) – Kocha Bora ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
Miguel Gamondi (Yanga SC) – Kocha Bora ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
Ibrahim Abdullah Bacca (Yanga SC) – Beki Bora wa Ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
Amina Kyando – Mwamuzi Bora Ligi ya Wanawake.
Ahmed Arajiga – Mwamuzi Bora Ligi Kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
Zawadi Yusuph – Mwamuzi msaidizi bora ligi kuu ya wanawake
Mohamed Mkono – Mwamuzi msaidizi bora ligi kuu ya Wanaume Tanzania Bara.
Mbwana Samatta (PAOK FC ya Ugiriki) -Mchezaji Bora wa Kiume Wa kulipwa.
Aisha Masaka (Brighton ya Uingereza) – Mchezaji Bora wa Kike Kulipwa.
Aisha Mnuka (Simba Queens) – Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara.
Feisal Salum ‘Feitoto’ (Azam FC) – Mchezaji Bora wa Kombe la CRDB Federation Cup.
Aziz K (Yanga SC) – Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara

 

Related Posts