Dkt.Biteko afungua maonesho ya nanenane nyanja za juu kusini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Agosti 2, 2024 amezindua Sherehe za Maonesho ya Wakulima – Nane Nane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na kutembelea mabanda mbalimbali ya maenesho katika katika Viwanja vya John Mwakangale, Jijini Mbeya.

Kauli Mbiu: “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi”

Related Posts