WATUHUMIWA 134 WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UHALIFU – MWANAHARAKATI MZALENDO

Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani rimeripoti kwamba likiwa katika kuendeleza kuimarisha usalama kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi pamoja na jamii katika kuzuia uhalifu kwa kufanya operesheni, misako, ddoria na kutoa elimu kwa wananchi, ndani ya mwezi Julai limeweza kukamata watuhumiwa 134 kati yao watuhumiwa 20 wamekamatwa wakijihusisha na matukio ya unyang’anyi, uporaji hasa nyakati za usiku.

Watuhumiwa hao wamekutwa na mali zidhaniwazo kuwa za wizi ambazo ni Televisheni 01, aina ya Rising, Nondo rola 07 mali ya ujenzi wa mradi wa maji Shanwe na vinginevyo vilivyotajwa kwenye taarifa hiyo…..

Image

Image

Related Posts