KESHO TUWASAIDIE SUPU WENZETU ILI WATU WAJE – MO DEWJI – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

“Niwapongeze benchi letu la Ufundi kwa maandalizi mazuri ya msimu ujao, tutakiane kila la kheri…. tujipongeze wote kwa kuvunja rekodi ya Club ya kuuza ticket zote siku tatu kabla ya Simba Day na kuja uwanjani, kuna Rafiki yangu ameniambia labda kesho tuwasaidie supu wenzetu supu ili Watu waje” Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji maarufu Mo Dewji 

Related Posts