HAWA NDIO WACHEZAJI WALIOTEMWA NA SIMBA MSIMU WA 2024/25 – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Aliyekuwa mlinda mlango namba moja wa Simba Sc, Aish Manula ni mmoja kati ya mchezaji ambaye hajatajwa kwenye kikosi kipya cha Simba cha msimu wa 2024/25 katika utambulisho wa kikosi kipya cha msimu kilochotambulishwa leo Agosti 3, 2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

 

 

 

Mchezaji mwingine ambaye hajatambulishwa leo na Simba haijaweka bayana kama imeachana naye ni Essomba Onana kutoka Cameroon

Related Posts