Picha: Rais Samia afanya ukaguzi magengo mapya ya Kampasi Chuo Kikuu cha Mzumbe Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua Majengo mapya ya Kampasi mpya ya Chuo Kikuu Cha Mzumbe Mkoani Morogoro wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi leo August 04,2024. #RaisSamiaZiaraMoro

.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts