Rais Samia azindua barabara ya kidatu-Ifakara yenye urefu wa Km66.9 na Daraja la mto Ruaha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo August 04,2024 amezindua Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 na Barabara ya kiwango Cha lami kutoka Kidatu Kuelekea Ifakara yenye urefu wa Km66.9 ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 157. #RaisSamiaZiaraMoro

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts