Umati wafurika Mkutano wa Rais Samia Ifakara

Maelfu ya Wananchi wa Kilombero Mkoani Morogoro leo wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Ifakara kwenye Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan kumshukuru kwa Miradi mingi ya Maendeleo wakati Ziara ya Kikazi Mkoani humo leo August 05,2024. #RaisSamiaZiaraMoro

.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.

Related Posts