VAR KUTUMIKA MECHI YA DERBY YA KARIAKOO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mechi ya Ngao ya Jamii ya nusu fainali kati ya Young Africans dhidi ya Simba SC itakayochezwa katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya tarehe 8/8/2024 itatumia teknolojia ya VAR(Video Assisstance Refree).

Pengine hii ni jitihada katika kuhakikisha haki inatendeka kwa matukio yatakayokuwa na utata katika maamuzi.

Mshindi wa mechi hiyo ataungana na mshindi wa mechi ya Azam FC na Coastal Union ambayo itachezwa huko Zanzibar katika uwanja wa New Aman.

 

#KonceptTvUpdates

Related Posts