Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Bw. Patrick Mwanri alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akisaini kitabu cha wageni alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Bw. Patrick Mwanri alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akipata maelezo mbalimbali kuhusu karakana ya Shirika la Ndege la Precision Air alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Precision Air alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Coastal Aviation Dkt. Capt. Basil Obeidat alipotembelea kampuni hiyo ya ndege ili kuona huduma mbalimbali wanazozitoa pamoja na kusikiliza changamoto wanazozipitia wawekezaji kwenye Usafiri wa Anga hapa nchini.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Coastal Aviation Dkt. Capt. Basil Obeidat alipotembelea ili kuona huduma mbalimbali wanazozitoa pamoja na kusikiliza changamoto wanazozipitia wawekezaji kwenye Usafiri wa Anga hapa nchini.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Coastal Aviation Dkt. Capt. Basil Obeidat alipotembelea kampuni hiyo ya ndege ili kuona huduma mbalimbali wanazozitoa pamoja na kusikiliza changamoto wanazozipitia wawekezaji kwenye Usafiri wa Anga hapa nchini.