Picha: Rais Samia akizungumza na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa kiwanda cha Sukari Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda Cha Sukari Cha Mkulazi kilichopo Kilosa Mkoani Morogoro wakati wa Uzinduzi wa Kiwanda hicho leo August 07,2023.

#RaisSamiaZiaraMoro

 

 

Related Posts