Dj Effexy katuletea hii Album yake mpya isikilize hapa ‘Midnight In Dar’

Ni Dj Effexy ambae kwasasa anaingia kwenye rekodi za Ma Dj’s kutokea Tanzania ambao wenye ushawishi wa kupendwa hususani pale anapowakosha watu wanaofika kwenye maeneo tofauti tofauti ya starehe kusikilize burudani anazozitoa.

Sasa Dj huyo time hii ametuletea hii Album yake mpya aliyoipa kwa jina la Midnight in Dar yeye nyimbo tano ambazo amewashikirikisha wasanii mbalimbali unaweza ukabonyeza PLAY kusikiliza HAPA

.
.

Related Posts