DKT. MWINYI AMPOKEA CCM KATIBU WA MAALIM SEIF – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewapokea Wanachama 368 kutoka Vyama vya ACT Wazalendo na CUF waliojiunga na CCM wakiongozwa na Ndugu Ahmed Omar aliyewahi kuwa Msaidizi wa Maalim Seif Shariff Hamad na Juma Duni Haji tarehe 10 Agosti 2024 katika Uwanja wa New Complex Amani wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya kijana kijani ya Tunazima zote Tunawasha kijani.

Related Posts