FREEMAN MBOWE AKAMATWA UWANJA WA NDEGE SONGWE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na John Pambalu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), wamekamatwa na jeshi la polisi.

Tukio hili limetokea leo walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe, mkoani Mbeya, Tanzania.

Viongozi hawa walikuwa katika uwanja huo wa ndege kwa ajili ya kufuatilia sintofahamu inayoendelea, ingawa maelezo zaidi bado hayajafahamika.

Taarifa zaidi zitatolewa kadri habari zitakavyopatikana.

#KonceptTvUpdates

Related Posts